Printer-friendly versionSend by emailPDF version

Afrika sasa tumefahamu
Ni mwamko wetu na akili timamu
Kusaidiana ndo ujamaa uwe mtamu
Waache wanaopiga kelele
Kwetu Afrika ni ngoma na si lele
Kumbuka sera ya Mwalimu nyerere
Waambie wale wasiofahamu
Kujifahamisha watie hamu
Huu wito usambae hadi Lamu
Nairobi hata Mombasa Watamu
Arusha na kule Dar es Salaam
Kusoma na kuandika ndo chemichemi

BROUGHT TO YOU BY PAMBAZUKA NEWS

* Please send comments to editor[at">pambazuka.org or comment online at Pambazuka News.